Dstv Tanzania

BALOZI WA BENKI YA NMB TANZANIA AWARD MPANDILAH AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA BENKI HIYO TAWI LA KARIAKOO,KWA PAMOJA WAMEJADILI NA KUTOA MAPENDEKEZO KW A LENGO LA KUBORESHA HUDUMA ZA BENKI YA NMB,WAPONGEZA MAFANIKIO MAKUBWA YALIYOFIKIWA NA NMB TANZANIA.


NMB BANK PLC
Mapema asubuhi ya Leo tumepata kifungua kinywa na bank Yetu pendwa Nmb 

Tukiwa tumejumuika pamoja na staff wa Nmb Tawi la kariakoo na baadhi ya wadau

Pamoja natukio hilo wadau wamepata nafasi ya kutoa kero/mapendekezo juu ya kuboresha zaidi huduma.

Nawengi wao wamepongeza kwa jitihada zinazofanywa na bank hii kuwa sehemu ya chachu ya uchumi wawatanzania ikiwa nipamoja nakupunguza riba za Mikopo.

Wamepongeza kuanzishwa kwa huduma/bidhaa 3 za kidigital ambazo wamesema zinaenda kufanya mabadiliko makubwa katika kurahisisha huduma za kibank.

Mwisho Mimi Kama Balozi wa Nmb nimefurahishwa Na maoni na mapendekezo ya wadau imani Yangu bank yetu itayafanyia kazi

Asante Nmb Tawi la Kariakoo
By
#mpandilah Award #ambassador Nmb bank Plc.

TAZAMA PICHA ZAIDI



Hakuna maoni: