KATIBU UVCCM MKOA WA NJOMBE USO KWA USO NA RAISI WA WALIMU TANZANIA,RC NJOMBE NAYE ATETA NA RAISI HUYO
Katibu Uvccm mkoa wa NJOMBE Sure Mwasanguti, Amekuwa mstari wa mbele akishirikiana na viongoz wenzake wa ccm mkoa wa NJOMBE kuhakikisha mgogoro wa walimu unaisha salama na walimu waliohamishwa kutoka shule za secondary kwenda msingi kupata haki yao.
Leo 15/08/2018 Raisi wa CWT TANZANIA amewasili mkoan Njombe kikazi ,licha ya majukumu ya kitaasisi ameweza kukutana na walimu waliokumbwa na kimbunga hicho na bado wanatumikia adhabu ya kukatwa mshahara kwa kutofautiana na wasimamizi wao.
Kikao hicho kilichofanyika Glory hotel majira ya jion, kilichohudhuliwa na katibu Uvccm mkoa wa NJOMBE Sure Mwasanguti pamoja na RC NJOMBE Comrade Christopher Olesendeka ambaye nayeye yuko bega kwa bega kuhakikisha walimu hao wanakuwa salama.
Katibu Uvccm ameweza kumweleza shida wanayokumbana nayo walimu hao ya kukatwa mishahara na stahiki zao za uhamisho pamoja na kuyumba Kwa mahusiano na wasimamizi wao, hili limepelekea walimu hao kujikuta wakiendelea kufanya kazi kwenye mazingira yasiyo salama kwa kukosa stahiki zao.
Hivyo amemuomba kuliangalia kwa jicho la Pili hili ni tatizo kwani linaathiri mfumo wa elimu kwa wataalamu hawa kuwa wanyonge.
Lakini pia amemshukuru mkuu wa mkoa wa Njombe kwa kuwa karibu na walimu kwakuwa amekuwa akiwasikiliza na baadhi ya mambo kutatulika na mengine bado, Pia amemhakikisha raisi huyo kuwa CCM haitakuwa nyuma kwenye hili swala kwakuwa chama kipo kwa ajili ya wanyonge na kusimamia haki bila kuangalia mtu.

"Bila elimu nchi hii itakosa wataalamu na hakuna jambo litakalo kwenda sekta ya afya, mainjinia ,Siasa, kilimo, maji n. K. Zote hizi zinahitaji wataalamu ambao watatokana na walimu "

Naye RC wa Njombe ameshukuru ujio wake kwakuwa watashikiana vyema kuhakikisha mambo haya yanakwisha aidha amekisemea na kukishukuru chama cha mapinduzi kwa kuwa mstar wa mbele kuwatetea walimu hawa Serikali ya CCM haikotayar kuyafumbia macho yasiyo na maslahi kwa watanzania.
Nao walimu kwa umoja wao wamemshukuru raisi wao kwa kuwatembelea kwan inaleta faraja kuona Kiongoz wenu anawajali na kuwatayar kuwasaidia ,lkn pia wamemshukuru Mkuu wa mkoa kwani amekuwa akiwasaidia Sana pale wanapohitaji Msaada wake na amekuwa tayar muda wowote kuwasaidia, wamemshukuru RC kwani amekuwa akiwasaidia sana.
Lkn bila kupepesa macho wametoa shukran za dhati kwa CCM kwa kuwa wamekuwa wakiwaunganisha na kutafuta suluhu kwa kuwaita viongoz na kujaribu kuweka mambo sawa na baadhi wamefanikiwa na mengine bado na wanaiman CCM itaendelea kutafuta suluhu ya haya mambo na haki itapatikana.
Zaidi Tazama Picha Hizi.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni