HII NDIO LIST YA WADAU WA STAMBULI MEDIA WLIOCHANGIA CHAKI KUUNGA MKONO JITIHADA ZA MKUU WA WILAYA LUDEWA KUINUA ELIMU TUMEONA KWA VITENDO* ZOEZI BADO LINAENDELEA.
We Bring You To The World
1-Robert sheja mabu -kada kutoka songwe Box 2
2-Award Mpandila balozi NMB -box 13
3-Sophia Mpumilwa Alikuwa mgombea UWT TAIFA -box 5
4-Hassan Kapolo -Katibu UVCCM Ludewa -box 3
5-Thobias Lingalangala Box3 -Mjumbe kamati ya siasa mkoa wa Njombe.
6-Aisha jamal Ayubu -3
8-Bi Angela Mwageni M/kiti UWT W-Njombe 5
8.-Bi Grace haule -Katibu UWT W-Njombe 5
9.Mh.Avelina DVM ludewa 5
10.Elika Sanga .Mwkt UWT MAKETE ..5
11. Farida Nurdin -Mbaraza UWT Taifa..5
12.Katibu ccm mjimwema 2
13.Bi Rosemary Lwiva M/kiti UWT- Mkoa Njmb Box 5
14.Mzee Lumato MNEC-Njombe box 10
15.Mama Mwifunyi box 4-Mkurugenzi mwifunyi Hotel
Namba yetu ya kutuchangia box za chaki kama uko mbali ni 0754249545 jina Stambuli titho..... Kwa ambao wako Nje ya Njombe na ambao hatuwez kuonana
Jumla mpaka Sasa Box 65
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni