Dstv Tanzania

HUU NDIO MKWANJA ALIOUACHA SHIKAMOOPARACHICHI (KATIBU MWENEZI CCM MKOA WA NJOMBE) KATIKA KONGAMANO LA MAADILI -WANGING'OMMBE.

Na.Titho Stambuli.

Katibu mwenez CCM mkoa wa Njombe Ndg Erasto Ngole amezidi kuwa gumzo mkoani Njombe kwa moyo wa kuchangia pale anapoombwa kusaidia na yeye anapoamua kujitoa. 


Kwa sasa amekuwa hazuiliki kama messi kwa kutoa noti zinazotokana na juhudi zake binafsi kwa kilimo cha parachichi kama alivyoamua kulipaheshima zao hilo kwa kusema shikamoo parachichi.


Katika kongamano hilo aliloalikwa kuwa mgeni Rasmi kongamano la maadili lililoandaliwa na jumuiya ya wazazi, ukiachana na hotuba huu ndio mkwanja alioutoa Huko wanging'ombe .

1-UWT wanging'ombe wamechangiwa shilingi 600,000/=kwaajili ya kufunga mashine ya kusaga mradi wa jumuiya. 


2.Ujenzi was ofisi ya ccm wilaya amechangia shillingi 300,000/=.


3.Zawadi kwa wanafunzi wa chekechea ya Igwachanya Day care na mwalimu 60,000/= kwa kuweza kuonyesha uwezo wa kujibu maswali

4,Kongamano hilo amechangia sh 300,000/=,ili kuweza kufanikisha kongamano hilo

5,Nauli makatibu kata waliofika 35,000/=

Kutoa ni moyo, hakika amezidi kuonyesha kwa vitendo kusaidia jamii

Hakuna maoni: