Dstv Tanzania

MWENYEKIT WA UMOJA WA WANAWAKE MKOA WA DAR ES SALAAM (UWT) DOROTH KILAVE NA KAMATI YAKE YA UTEKELEZAJI (UWT) MKOA.

Mwenyekit wa umoja wa wanawake mkoa wa Dar es salaam (UWT) Doroth Kilave na kamati yake ya utekelezaji (UWT) mkoa siku ya leo 20/8/2018*wame fanya ziara kwenye wilaya ya kigambon kwenye masoko  soko la ferry soko la ungindoni.

 Ziara hiyo imefanyika chini ya usimamizi wa mwenyekiti wa (uwt) wilaya ya kigambon mwajabu mbwambo na kamati ya utekelezaji ya (uwt) wilaya ya kigambon.

Wame tembealea kwenye masoko siku ya leo kukutana na akina mama wajasiriamali wanao fanya biashara kwenye masoko hayo lengo ni chukua changamoto za kina mama wafanya biashara kwenye masoko wanao fanya biashara ndogo ndogo kwenye ziara ya mwenyekiti wa (uwt) mkoa ame kutana na wafanya biashara za mbogamboga mama lishe wauza samaki
ki

Hakuna maoni: