MWITA WAITARA ARUDISHA FOMU KWA SHANGWE
Mgombea
wa Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Mwikabwe Waitara Leo
amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Ukonga .
Katika
msafara wake mgombea huyo ameongozana na viongozi mbalimbali wa Chama
cha Mapinduzi pamoja na Jumuiya zake wakiongozwa na mwenyekiti wa CCM
wilaya ya Ilala ndugu Ubaya Chuma.
Tukio hilo limefanyika kwenye ofisi za mkurugenzi wa manispaa ya wilaya ya Ilala jijni Dar es salaam.
Imetolewa na
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM TAIFA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni