Dstv Tanzania

ROCK MWAKIBINGA ATEULIWA KUIONGOZA BENDI YA UVCCM VIJANA JAZZ BAND

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa MCC Kheri James amemteua Mwana UVCCM na Kada mashuhuri wa CCM Ndugu James Rock Mwakibinga kuwa Meneja wa Bendi inayomilikiwa na UVCCM "VIJANA JAZZ BAND" kwenye Kikao cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa Jijini Dodoma.

Hakuna maoni: