WANANCHI WA KIJIJI CHA LUGARAWA WAMPONGEZA DC WA LUDEWA KWA KUNUSURU ENEO LAO, NI BAADA YA KUTAKA KUPOKONYWA NA RAIA MBABE.
Na Titho Stambuli.
Mkuu wa wilaya ya Ludewa ni mkuu wa wananchi wanyonge kama
ilivyo kauli ya Mhe Rais Magufuli kutetea wanyunge.
Imejidhihirisha wazi nibada ya raia wababe kulivamia Eneo la
serikali ya kitongoji cha lwafyo juu na kufanyia kazi bila lidhaa ya wananchi .
DC ndg Andrew Tsere amewakamata watuhumiwa hao nakuwasweka
ndani kutokana kuvamia maeneo yaliyo tengwa na serikali kwa kwaajili ya
matumizi ya wananchi.
Hatahivo mkuu huyo amekemea Vikali mwanachi yeyote kuvamia
maeneo ya serikali bila taratibu.
Hatahivo mwenye kiti wa kijiji cha lugarawa na mtenda waki
pamoja na jeshi la polis wampa ushirikiano mkuu kuhakisha maeneo ya serikali
yanalindwa na kusimamiwa ipasavyo.
Wananchi kwa umoja wao wamempongeza Sana mkuu huyo wa wilaya
ya ludewa kwa uchapaji kazi na kusimamia maendeleo na kutetea wanyonge.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni