Dstv Tanzania

CCM YAANDIKA HISTORIA MANISPAA YAIRINGA ,YASHINDA KWA KISHINDO UNAIBU MEYA.


Mhe. Joseph Nzala Lyata (Naibu Meya mteule Manispaa ya Iringa) akisalimiana na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli
Mapema Leo, Kikao cha Baraza la Madiwani Manispaa ya Iringa kimefanya Uchaguzi wa Naibu Meya. 

Mgombea wa CCM Mhe. Joseph Nzala Lyata amemshinda Mgomnea wa Chadema kwa kupata Kura 15 kwa 13. 

Aidha, akidi ya wajumbe kwenye Baraza hilo ilikua sawa yaani nusu kwa nusu.

Hakuna maoni: