HII NDIO MICHANGO ALIYOCHANGIA KATIBU MWENEZI MKOA WA NJOMBE WILAYANI LUDEWA KATIKA HAFLA YA KUMUAGA MKURUGENZI NA KUMKARIBISHA MKURUGENZI MPYA.
Katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Njombe Erasto Ngole akimkabidhi kitita cha fedha aliyekuwa mkurugenzi wa Ludewa Lubigija |
1.Mchango wa hafla hyo shillingi 400,000/=
2.UVCCM Ludewa kwaajili ya kufanikisha baraza Shillingi 200,000/=.
3.Diwani mlangali amepokea shillingi 300,000/= kwaajili ya kupaka rangi shule ya msingi mlangali ndani.
4.Amemchangia mafuta mkurugenzi anayeondoka shillingi 100,000/= kwaajili ya Safari.
Shukrani na pongezi kwake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni