Dstv Tanzania

VIONGOZI CCM W-LUDEWA NA MKOA WA NJOMBE WAMUAGA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA WILAYA HIYO NA KUMKARIBISHA MKURUGENZI MPYA.

Na.Titho Stambuli

Viongozi wa ccm wamejumuika na watumishi wa serikali ,na wananchi kumuaga aliyekuwa mkurugenz wa wilaya hiyo Lubigija ambaye amehamishiwa Kigamboni Jijini Dar Es Salaam.
Tafrija hyo iliyofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya mji ilikuwa ni kumuaga japo ilikuwa ni pengo kubwa kwa wanaludewa kwa kuwa walimzoea kufanya naye kazi, walimjua kwa utendaji kazi wake ukiotukuka na hakuna shaka tangu aingie wilayani hapo ameshikiana nao vizuri kazi nyingi kwa uaminifu mkubwa kwa maslahi ya wanaludewa.
Nao viongoz wa CCM  wilaya ya Ludewa wakiongozwa na mwkt wao Stanley kolimba akiwa ameambatana na safu nzima ya uongozi katibu wa ccm wilaya Bakar mfaume, katibu wa wazaz Biria, Mwkt uvccm w-Ludewa Theopester Mhagama na katibu Hassan kaporo, wameshukuru sana kwa utumishi wake pindi alipokuwa katika wilaya hyo kwani aliweza kuunganisha taasisi zote serikali na Binafsi na mpaka kupatikana kwa matokeo chanya ndani ya wilaya hiyo hivyo.
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa  Adrea Tsere Akizungumza wakati wa Hafla hiyo
  "tunamtakia Maisha mema huko aendako na akazidi kuwatumikia vyema watanzania na pia tunamkaribisha mkurugenzi mpya kwa mikono miwili tunaamn nayeye ataiga mfano kwa aliyeondoka kwa mda mfupi tuliokaa naye tunaamn nayeye anavingi vya kufanya kwaajili ya ludewa" Amesema Mwenyekiti wa CCM Stanley Kolimba
Viongoz Ngazi ya mkoa wakiongozwa na katibu mwenez Erasto Ngole akiwa ameambatana na mjumbe wa kamati ya siasa mkoa Thobias Lingalangala, katibu hamasa mkoa Johson Mgimba, kada melickius Moshwe na msimamizi wa stambulimedia Titho stambuli.
Mmiliki wa Mtandao Huu Titho Stambuli Akiserebuka wakati wa Hafla Hiyo
Akizungumza kwa upande wa mkoa katibu mwenez amemzungumzia Lubigija kuwa ni mchapakazi na aliyeamua kuitumikia Ludewa kwa moyo wake wote na wananchi wa Ludewa hawakutaman kabisa aondoke kwa kuwa waliamini mabadiliko kupitia yeye na hata ccm.

"tuliamini utekelezaj Wa ilani uko salama chini yako lkn pia tunaamn hata uendako unaenda kutekeleza ilani ya ccm hivyo tunaamn unaenda tena kutekeleza ilani ya ccm na mwisho kiongoz huyo alimchangia shillingi 100,000/= kwaajili ya mafuta ya Safari. 

Lakini pia tunamkaribisha mkurugenzi mpya tunaiman nawewe na tuko tayar kufanya kazi nawewe  tunaamn utatekekeza ilan vyema mwenyekiti wetu kakuamn na nilazima umlipe kwa iman aliyokupa.

Picha Zaidi.
Katibu wa Hamasa na Chipukizi Mkoa wa Njombe  Johnson Mgimba Akifungua Shampeni wakati wa Hafla hiyo.

Hakuna maoni: