HIVI NDIVYO MWENYEKITI WA CCM TAWI LA CHINA Shauku Kihombo NA KATIBU MWENEZI WALIVYOKUTANA NA WAZIRI MKUU WA TANZANIA KASSIM MAJALIWA.
Mwenyekiti wa CCM Tawi la China Ndg. Shauku Kihombo pamoja na Katibu Mwenezi CCM Tawi la China wakiwa pamoja katika ubalozi wa Tanzania uliopo jijini Beijing nchini China ambako walihudhuria tukio la Waziri Mkuu (MB) Kassim Majaliwa alipokutana na watanzania (Wanafunzi,wafanyabiashara na watumishi) waishio nchini China jana jioni tarehe 2 Septemba2018.
HAPA CHINI NI BAADHI YA PICHA MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIYO CHINA 2.9.2018 (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni