Dstv Tanzania

KATIBU WA CCM SHINA LA BEIJING BI. MAUA KHAMIS BAIYA AZURU KATIKA OFISI ZA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR


 Pichani ni Katibu wa CCM shina la Beijing Bi. Maua Khamis akiwa ofisini kwa  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Dr. Abdallah Juma Mabodi



Katibu wa CCM shina la Beijing Bi. Maua Khamis Baiya ambaye ni mwanafunzi wa shahada ya umahiri katika chuo cha China Women University alipozuru katika ofisi za Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Dr. Abdallah Juma Mabodi kwa ajili ya kumuaga anaporejea masomoni china na ambapo amepokea nasaha muhimu ili ziwafikie wana CCM Tawi la China.








Hakuna maoni: