DC HOMERA TUNDURU AWAHAKIKISHIA WANANCHI WA TUNDURU UWEPO WA VIWATILIFU VYA KUTOSHA(PEMBEJEO) KWAAJILI YA KUTIBU NA KUKINGA MIKOROSHO WILAYANI HUMO.
Hata hivyo DC Homera alisema Bodi ya korosho nchini chini ya kaimu mkurugenzi mkuu wa Bodi ya korosho Prof Wakuru Magigi imeleta Tan 256 za Sulfa dust na zingine Tan 300 ziko njiani zinakuja Tunduru ,na dawa za maji Lita 7369.
DC Homera aliwatoa hofu wananchi na kusema kwamba mgao wa Tunduru msimu wa 2018/2019 kwa upande wa sulfa dust zaidi ya Tan 5986 ukilinganisha na mwaka 2017/2018 tulipata mgao wa Tan 1052 tu Hivyo ni ongezeko kubwa na Dawa za maji msimu wa 2018/2019.
Tunduru ina mgao wa Lita zaidi ya 34,040 ni ongezeko kubwa ukilinganisha na msimu wa 2017/2018 Tulipata Lita 15,0000.
Aidha DC Homera amesema watendaji wa kata na maafisa kilimo kata pia wznaweza kuratibu upatikanaji wa pembejeo kwa wananchi kwa kuchangisha fedha na kufanya malipo kupitia bodi ya korosho ,pili kwa kushirikiana na vyama vya ushirika Amcos pia zinaweza kuchangisha fedha na kulipa Bank kwa mujibu wa utaratibu uliowe
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni