Dstv Tanzania

MWENYEKITI WA CCM MKOA NJOMBE ASHIRIKI KIMAMILIFU UZINDUZI WA KAMPENI YA HUDUMA,ELIMU NA USAJILI WA WALIPAKODI WAPYA



Mwkt wa CCM mkoa wa Njombe Ndugu Jassery Mwamwala ameshiriki kikamilifu katika Uzinduzi wa Kampeni ya Huduma,Elimu na usajili wa walipakodi wapya Mkoani Njombe,Shughuli iliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Njombe.

 Mkutano huo umehudhuliwa na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Richard Kayombo,Akiwa na Viongozi wengine wa Serikali,(Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri na mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe Comred Brother Ally Kasinge ambaye ndie alikuwa Mgeni Rasmi)

Wafanyabiashara wa Mkoa wa Njombe  ambao ndio walipaji wa Kondi waliolengwa katika shughuli hii nao hawajaachwa Nyuma.


Picha na Erasto Mgeni

Hakuna maoni: