DC HOMERA ARIDHISHWA NA UJENZI WA GHALA LA KUHIFADHIA KOROSHO WILAYANI TUNDURU
Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma amesema hayo alipokuwa amekwenda kutembelea mradi huo unaojengwa na kampuni ya wazawa Skycity ya Dar es salaam Tanzania .
Aidha DC Homera aliwapongeza na kuwataka wamalize ujenzi wa mradi huo kwa wakati kwa mujibu wa mkataba uliosainiwa kati ya CBT na mkandarasi huyo ,Ghala hili lina urefu wa mita 135 na upana mita 35 linatarajia kuhifadhi korosho Tan 15000 mpaka 20,000 kwa wakati mmoja.
Hata hivyo DC Homera alisema ghala hilo mpaka kukamilka kwake litagharimu fedha za Kitanzania Tsh Billion 5.7.
Dc Homera ameeleza kwamba ghala hilo litapunguza kwa kiwango kikubwa wizi wa rejareja wa korosho za wakulima Mara wafikishapo ghalani kuu kwaajili ya mnada wa korosho hizo.
pili kutawawezesha wakulima kuwahi soko lenye bei nzuri kwakuwa korosho zao zitawahi kuondolewa shambani na kufikishwa ghala kuu.
Aidha DC Homera amewaomba Bodi ya korosho CBT kupitia kaimu mkurugenzi mkuu wake wa (CBT) Prof Wakuru Magigi kuwa nae bega kwa bega mkandarasi huyo ili amalize kazi yake kwa wakati.

Sehemu ya Ujuenzi wa Ghala hilo |

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni