Dstv Tanzania

IJUE KATIBA YA CHAMA CHA MAENDELEO MAKETE (MDA)



Chama cha Maendeleo Makete Kimeendelea Kuwahamasisha Watanzania wenye Mapenzi mema katika kuhakikisha Wilaya ya Mekete inaimariki katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo,Uchumi,Afya,Elimu , Mazingira nk Kujiunga na Chama hicho kwa lengo lengo la kuiletea Maendeleo Wilaya hiyo Kwa Pamoja.

Akizungumza na Mtandao huu Katibu mkuu wa Chama hicho  Award Mpandilah-0768484715 amesema wameamua kuweka wazi Katiba ya Chama hicho Ili Kila Mtanzania  Aweze kuisoma na kujua Nia na Malengo ya kuanzisha chama hicho katika Ustawi wa Wilaya ya Makete.

Mpandila amaesema Katiba Hiyo imebeba majibu yote Kuhusu Shughuli zinazofanywa  na Chama hicho ambacho mpaka sasa kina zaidi ya miaka 2 Tangu kilipoanzishwa mwaka 2016.

BONYEZA Link(MAANDISHI MAKUBWA) Nimekuwekea Hapa Chini, Pakua Katiba Ili uweze Kuisoma .


>>KATIBA YA CHAMA CHA MAENDELEO MAKETE(MDA)1988 TOLEO LA MWAKA 2016 >>>

Hakuna maoni: