MJUMBE WA BARAZA KUU WAZAZI- CCM TAIFA KUTOKA MKOA WA NJOMBE AMPIGA KIJEMBE MBUNGE WA BABATI MJINI GETRUDI GEKULU .
Na Titho Stambuli.
Mjumbe wa baraza wazazi CCM taifa kutoka mkoa wa Njombe Ndugu IMANI FUTE, amemtumia salamu mbunge wa Babati mjini Getrudi Gekulu na kumwambia atapata tabu sana ........
Mjumbe huyo ambaye alikuwa ziara na katibu wake katika jimbo la lupembe wilayani Njombe,ametoa kauli ya kumdhibiti mbunge huyo ambaye ametamka kwenye vyombo vya habari kuwa yeye anatekeleza ilani ya CHADEMA.
Mjumbe huyo ameonekana kukerwa , kumcheka na kumpa Pole mbunge huyo nakumwambia hajitambui na kipigo cha mbwa koko amekipata na kumtaka kama anaweza ahamie CCM.
Lakini pia mekanusha kuwa hakuna chama cha upinzani kinachotekeleza ilani yake na haitatokea na hata mbunge wa upinzani anatekeleza ilani ya can hata yeye mwenyewe anatekeleza ilani ya CCM asiwadanganye wananchi.
Hata hivyo amesema kuwa CCM ndio iliyokubalika na wananchi na kumtaka atambue ccm ilani yake imekubaliwa na wananchi na ccm ndio imepewa dhamana ya kuunda serikali na kuwaletea wananchi maendeoleo,asiwadanganye wananchi wake azungumze ukweli kwa wananchi na sio kuwadanganya na atambue kuwa wananchi wanaakili na hata alivyolopoka wananchi wake wanajua huyo kapotea njia.
"kama anaweza ahamie ccm au amalizie kipindi chake salama na asahau kurudi bungeni kwani wananchi hawataweza kuendelea na mbunge mwongo"
Maendeleo ya serikali ya CCM yanaonekana hospitali zinajengwa, shule zinajengwa, ndege zimenunuliwa, barabara, umeme mjini na vijijini, maji na ujenzi wa reli ya kisasa kila kitu wananchi wanajua na wanaona.
Hivyo amewaomba wananchi kumsamehe mbunge huyo kwani haelewi na ameshapaniki na uimara wa ccm na serikali ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu John joseph pombe magufuli na Mwkt wa ccm Tanzania, "Aje apate ubatizo wa moto ahamie ccm"
Mjumbe wa baraza wazazi CCM taifa kutoka mkoa wa Njombe Ndugu IMANI FUTE, amemtumia salamu mbunge wa Babati mjini Getrudi Gekulu na kumwambia atapata tabu sana ........
Mjumbe huyo ambaye alikuwa ziara na katibu wake katika jimbo la lupembe wilayani Njombe,ametoa kauli ya kumdhibiti mbunge huyo ambaye ametamka kwenye vyombo vya habari kuwa yeye anatekeleza ilani ya CHADEMA.
Mjumbe wa baraza wazazi ccm taifa kutoka mkoa wa Njombe Ndugu IMANI FUTE,akizungumza na wananachi wa kijiji cha Ninga halmashauri ya Wilaya ya Njombe. |
Lakini pia mekanusha kuwa hakuna chama cha upinzani kinachotekeleza ilani yake na haitatokea na hata mbunge wa upinzani anatekeleza ilani ya can hata yeye mwenyewe anatekeleza ilani ya CCM asiwadanganye wananchi.
Wananchi wa Kijiji cha ninga Wilaya ya Njombe wakimsikiliza kwa Makini Mjumbe wa baraza wazazi ccm taifa kutoka mkoa wa Njombe Ndugu IMANI FUTE |
"kama anaweza ahamie ccm au amalizie kipindi chake salama na asahau kurudi bungeni kwani wananchi hawataweza kuendelea na mbunge mwongo"
Maendeleo ya serikali ya CCM yanaonekana hospitali zinajengwa, shule zinajengwa, ndege zimenunuliwa, barabara, umeme mjini na vijijini, maji na ujenzi wa reli ya kisasa kila kitu wananchi wanajua na wanaona.
Hivyo amewaomba wananchi kumsamehe mbunge huyo kwani haelewi na ameshapaniki na uimara wa ccm na serikali ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu John joseph pombe magufuli na Mwkt wa ccm Tanzania, "Aje apate ubatizo wa moto ahamie ccm"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni