ZIARA YA MPOGORO YAMUIBUA SHIKAMOOPARACHICHI WILAYAN LUDEWA
Na stambuli titho.
Wingu
jeupe limetanda wilayani ludewa,Juu ya ujio wa ugeni huu wa Mh,
Josephat mpogoro na katibu wake Mh Lucas Nyanda pale,Ziara hiyo
iliyobeba ujumbe wa elimu,malezi ,siasa, uchumi, na Tanzania ya
viwanda.
Ambapo katika swala zima la uchumi mwkt
alijikita sana katika kilimo, ambapo aliwahamasisha sana kulima matunda,
wananchi wengi walionekana kupaza sauti zaidi katika kilimo cha matunda
hasa parachichi wakilitaja jina la shikamoo parachichi, kuwa wanamuomba
aje kutoa elimu ya kilimo cha parachichi.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Njombe Mh.Josephat Mpogoro akiwa na Viongozi wa Jumuiya hiyo Wilayani Ludewa katika Moja ya shamba la Mradi wa kilimo cha Parachichi. |
Bila kumung'unya maneno mwkt
amewaambia wananchi katibu mwenezi Mh Erasto G Ngole, hana matatizo na
atawasiliana naye atafika kwa ajili ya kutoa elimu , na amewaomba
wananchi kuhakikisha wanapata elimu ya kutosha kabla ya kuingia kwenye
kilimo chochote ili waweze kufanikiwa.
Ni hayo tu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni