BALOZI WA NMB AWARD MPANDILA AIPONGEZA BENKI YA NMB KWA KUANZISHA HUDUMA/ BIDHAA MPYA 3 ZA KIDIGITALI
Anaandika Comred Award Mpandila Balozi wa NMB Plc Tanzania.
Namshukuru Mungu siku ya leo nimeshiriki shughuli ya
uzinduzi wa huduma mpya tatu za bank yetu pendwa Nmb bank Plc katika ukumbi wa
Hyatt Regency Dar es salaam,The Kilimanjaro -Kibo ballroom tukiongozwa na Mgeni
rasim Naibu Mkurugenzi wa BOT
Bidhaa hizo ambazo zinaipeleka bank katika mfumo wa
kidigital zaidi ambapo utaenda kurahisha mfumo mzima kiutendaji na kuongeza
kasi ya maendeleo kwa wanachi wa nchi yetu Tanzania
Product hizo tatu mojawapo ikiwa nipamoja na:
✍Uwezo wa kufungua akaunti bila kufika kwenye tawi kwa
kutumia simu yako ya mkononi hata iwe ya tochi bonyeza*150*66#
✍Kufanya malipo ya manunuzi kwa kutumia kifaa maalumu
kilichobuniwa ambacho muuzaji atakuwa nacho hata uwe unasimu ya tochi utaweza
kuingiza namba nahatimaye muamala kukamilika
✍Huduma ya Nmb App kwa wale wenye simu za smart phone
wataweza kufanya miamala yote kwa kutumia hiyo huduma hata kuomba Mikopo
inawezekana ukiwa na app ya Nmb
Hivyo tunaona namna ambavyo itakuwa raha kutumia hiyo bank
ya Nmb kupitia hizo product 3 zilizo zinduliwa siku ya leo
Tumewashukuru kwa ubunifu tumewaomba kuwa waangalifu na
wahalifu wa kimtandao kwa usalama wapesa za wateja wametudhibitishia kwamba
kutakuwa salama
Mimi kama balozi wa Nmb bank Plc nimefurahishwa saana na
tukio la Leo nitumie frusa hii kuuahidi uongozi wa benk Yangu pendwa ya kwamba
nitaendelea kuueleza umma wawatanzania uzuri na ubora wa hii mifumo mipya ya
kidigital ambayo inakwenda kutupatia faida lukuki
Ikiwa nipamoja na kupunguza foleni ambazo zimekuwa
zikipoteza muda mwingi kwa wananchi na kulifanya Taifa na watu kwa ujumla wao
washindwe kupiga hatua za kimaendeleo.
Kwa kweli Nmb Plc ni benk ambayo inakwenda kufanya ushindani
wa kimataifa Mwenyezi Mungu awasaidie
#comrade Mpandila Award
#balozi Nmb bank plc
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni