CCM YAIBUKA KIDEDEA KATA YA ISAPULANO -MAKETE, CHADEMA WANYOOSHA MIKONO , PATA MATOKEO HAPA
Na Titho Stambuli
Zoezi la upigaji kura kinakamilika Kata ya Isapulano kwa CCM kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Mahasimu wao CHADEMA ambao wameanguka Kwa kura nyingi zaidi.
Ambapo mgombea wa CCM anaitwa Alphonce Mbilinyi na CHADEMA DADISO NAFTARI TWEVE.
MATOKEO
Vituo vya kupigia kura na matokeo.
SHULE YA MSINGI
ISAPULANO.
CCM:193
CHADEMA :38
OFISI YA KIJIJI ISAPULANO.
CCM:180
CHADEMA :26
Zilizoharibika :2
ZAHANAT ISAPULANO.
CCM :118
CHADEMA :58
Zilizoharibika :3
SHULE YA MSINGI LUVULUNGE.
CCM :86
CHADEMA :19
SHULE YA MSINGI IVILIKINGE.
CCM :206
CHADEMA :66
JUMLA
CCM :743
CHADEMA :207
ASILIMIA.
CCM :78.2%
CHADEMA :21.8%
Mshindi ni Alphonce Mbilinyi na ametangazwa kuwa Diwani wa kata ya isapulano anasubiri kuapishwa
Hongera CCM MAKETE........shukrani kwa wananchi wa Kata ya Isapulano kwa kuendelea kukiamini chama cha mapinduzi
STAMBULI MEDIA ....... WE BRING YOU TO THE WORLD

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni