KATIBU MWENEZI WA CCM MKOA WA NJOMBE ERASTO NGOLE ATAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO TAR 12//08/2018 MCHANA.
TAARIFA KWA UMMA
Katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa
Njombe Comred Erasto Ngole leo Tar 12/08/2018 saa 7:00 Mchana anatarajia
Kuzungumza na Umma wa Watanzania Kupitia Vyombo vya Habari katika Ukumbi wa CCM
Mkoa wa Njombe Uliopo Mji Mwema.
Katika Mkutano huo wenye agenda Nzito Mh.Ngole anavialika vyombo vyote vya habari Vya Mkoa wa Njombe na Vile vya
Kitaifa(Magazeti,Redio na Televisheni) .
Tafadhali mkutano huu sio wa kukosa.
Imetolewa na Ofisi ya Mwenezi CCM Mkoa wa Njombe.
12/08/2018
#HAPAKAZITU!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni