DKT MASHINJI AOMBA HURUMA YA POLISI MAKETE.
Katibu mkuu wa CHADEMA, dkt vicent mashinji amekimbilia polisi kuomba msaada Makete, kuwaomba polisi watoe amri watu wafike mkutanoni baada ya wananchi wa kata ya Isapulano kugoma kufika mkutanon na wengine kufunga maduka, jambo ambalo limewapa hasira na kwenda polisi kuomba msaada hali iliyopelekea polisi kumsindikiza mpaka eneo hilo lkn wamekosa cha kufanya kwa kuwa wananchi wameamua.
Hali hyo imepelekea Kiongoz huyo kughadhabika na kuahirisha mkutano huku akijaribu kuomba huruma ya polisi kuwarudisha watu jambo ambalo ni gumu sana wananchi kata ya isapulano wamegoma kabisa na kusikia Habar za chadema.
Hiki ni kicheko kingine kwa CCM, dhahiri wamedhamiria kuwagalagaza chadema asubuhi na mapema
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni