HABARI NJEMA KWA WATANZANIA WOTE MWIMBAJI WA INJILI JAMES MGEGO KUTOKA IRINGA ANAKUKARIBISHA KUTAZAMA MATUKIO YA UZINDUZI WA ALBUM YAKE MPYA
Habari kwa watanzania wote,Hayawi hayawi sasa yamekuwa.
Kutana na Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Mr. James Mgego kutoka Iringa Anakuletea albam ya nyimbo za Injili ya Video Yenye Njimbo tisa anayofahamika kwa jina la"Acheni Mungu aitwe Mungu" anakukaribisha katika siku ya uzinduzi tarehe 30.09.2018 katika kanisa Anglican Kristo Mfalme kanisa kuu Iringa.
Lakini majira ya saa nane Mchana hafla ya Uzinduzi itafanyika katika Ukumbi wa Highland Hall uliopo Iringa.
Mr Mgego anapenda kuwakaribisha watu wote katika kumuunga mkono katika jambo hili jema MA lenye baraka tele hakika utabarikiwa mnoo.
Mwenyezi Mungu akubariki sana
Kwa mawasiliano zaidi Mr James Mgego anapatikana kwa namba
0753 738 553 - whatsapp
Mgegojames222@gmail.com
PICHA ZAIDI
Maoni 1 :
Hingera sana mh. na Mungu azidi kukubariki katika kipawa hiki alichokujalia
Chapisha Maoni