Dstv Tanzania

KATIBU WA UVCCM WILAYA YA NJOMBE DANIEL MAHANZA ATANGAZA RATIBA YA UCHAGUZI WA CHIPUKIZI WILAYA YA NJOMBE.

 https://pbs.twimg.com/profile_images/702919667132862468/gI5euRbq_400x400.jpg
Katibu wa Jumuiya ya Viajana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM Wilaya ya Njombe Daniel Mahanza ametangaza Ratiba ya Uchaguzi wa Chipukizi Wilayani Humo Kama Ifuatavyo.

Ngazi ya Tawi:
27-31/8/2018
Kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea.

9-10/9/2018
Uchaguzi wa Viongozi wa Matawi.

Ngazi ya Kata/Wadi:
1-4/9/2018
Kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea.

15-16/9/2018
Uchaguzi wa Viongozi wa Kata/Wadi.

Ngazi ya Jimbo:
5-8/9/2018
Kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea.

Ngazi ya Wilaya:
11-14/9/2018
Kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea.

27-30/9/2018
Uchaguzi wa Viongozi wa Wilaya

SIFA muhimu kwa kila mgombea ni kuwa na kadi ya Chipukizi na umri wa kuanzia miaka mitano (5) hadi 13

Fomu zitatolewa bure katika Ofisi za CCM/UVCCM kwa kila ngazi.

Imetolewa na:
Daniel Mahanza
Katibu UVCCM (W)
NJOMBE

Maoni 1 :

Thobias Omega alisema ...

VIVA NJOMBE VIVA