KATIBU WA UVCCM WILAYA YA UBUNGO, LEAH D. MBEKE AHITIMISHA ZIARA YA KIUTENDAJI KATIKA MATAWI 11 KATA YA KWEMBE.
Leo tarehe 18/08/2018 asubuhi katibu wa Umoja wa vijana CCM , ndugu: Leah D. Mbeke ametembelea matawi mawili (2) ya kata ya Kwembe yaliyokuwa yamebakia siku ya Jana ambayo ni Tawi la Kisopwa na Mloganzila. na kuhitimisha ziara hiyo rasmi ndani ya kata ya Kwembe iliyoanza juzi tarehe 16/08/2018.
Katibu amepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM kata ya Kwembe, ndugu: Ramadhani Omary, mhamasishaji wa Uvccm kata ndugu: Mohamed Nassoro.

Katibu anapita kukagua utendaji wa matawini kuanzia ufanyikaji wa vikao, mikutano ya wanachama wote, mawazo ya miradi, utunzaji wa kumbukumbu n.k.
Matawi yaliyotembelewa ni Msakuzi, Kwembe, Luguluni, Mloganzila, Mji Mpya, Mpakani, Makomdeko, Kisopwa, Mji Mpya Kivuli,King'azi A na King'azi B.
Mpaka Sasa yametembelewa matawi 117 Kati ya matawi 137, Kata 12 Kati ya kata 14 za wilaya ya Ubungo.
# Ziara hii inaendelea kata Saranga.

Imetolewa na:
TAUSI H. RASHID
KATIBU WA HAMASA
WILAYA YA UBUNGO
DAR ES SALAAM.
#TukutaneKazini

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni