Dstv Tanzania

RC RUVUMA ATATUA KERO ZA WANANCHI


Wananchi wa vijiji vya Wenje,Mchoteka na Makande Wilaya Tunduru wakimsiliza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma  alipofanya ziara katika vijiji hivyo  na  kutatua kero za Maji,Elimu,Barabara na Afya kwa wananchi.

Pia amewataka wananchi hao kuunga mkono juhudi za Mhe Rais kwa kufanya kazi kwa bidii,kulipa kodi na kuchukua risiti wanapofanya manunuzi na kuimarisha ulinzi na usalama  katika maeneo yao.

"TUKUTANE KAZINI"
"TUKUTANE SITE"

Hakuna maoni: