HAWA NDIO WATAOIWAKILISHA UVCCM TAMASHA LA VIJANA NCHINI CHIN,M/KITI KHERI JAMES AKUTANA NA KUZUNGUMZA NAO
Ofisi Ndogo za Makao Makuu UVCCM Upanga Dar es Salaam
Mwenyekiti
wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Comred Kheri James (MCC)
amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Viongozi na Makada wa CCM
watakao Wakilisha UVCCM katika Tamasha la Tatu la Vijana wa ASIA na
AFRIKA litakalo fanyika Beijing nchini China
katika
Safari hiyo Viongozi na Makada hao wa CCM watapata wasaa wa Kushiriki
Makongamano makubwa mawili,Kongamano la Uongozi na Mafunzo pamoja na
Kongamano la Belt &Road youth Development Forum
#TukutaneKazini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni