KATIBU HAMASA UVCCM TAIFA BOMBOKO AZUNGUMZA NA MSANII BEKA IBROZAMA,WAMEZUNGUMZA KUHUSU UKUAJI WA SANAA YA MUZIKI NCHINI TANZANIA
Mkuu
wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Comred Hassan Bomboko amekutana
na Kufanya mazungumzo na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva)
Beka Ibrozama leo Ofisi ndogo za Makao Makuu UVCCM Upanga Dar Es
Salaam.
"Vipaji vyetu, Maisha yetu"
Ndugu
Bomboko na Beka Ibrozama wamezungumza kuhusu ukuaji wa sanaa ya muziki
nchini na kwa jinsi gani UVCCM ni tegemeo la Vijana wengi wenye vipaji
mbalimbali wakiwemo wana muziki.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni