HAWA HAPA NDIO WAKUU WA IDARA WAPYA WALIOTAMBULIWA KWA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU UVCCM WAMETAMBULISHWA LEO NA KATIBU MKUU WA UVCCM
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mwl Raymond
Mwangwala (MNEC) pamoja na wakuu wa Idara wapya wa Umoja wa Vijana
walipowalisi katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ndogo ya Makao Makuu UVCCM
Upanga Dar Es Salaam
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mwl.Raymond
Mwangwala (MNEC) akizungumza na watumishi wa Makao makuu wakati
akiwatambulisha wakuu wa Idara wapya wa Umoja wa Vijana walioteuliwa na
Kuthibitishwa na baraza kuu la UVCCM Taifa lililoketi jijini Dodoma wiki
iliyopita
Wakuu wa Idara za Makao makuu UVCCM wakifuatilia mazungumzo ya Katibu Mkuu UVCCM Mwl Raymond Mwangwala (MNEC) alipokuwa akiwatambulisha kwa watumishi wa UVCCM makao makuu.
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg.Hassan Bomboko akizungumza na watumishi wa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM leo wakati wa kutambulishwa Kwa watumishi wa Makao makuu ya UVCCM
Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg Kamana Juma Simba akizungumza na watumishi wa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM leo wakati wa kutambulishwa Kwa watumishi wa Makao makuu ya UVCCM
Katibu wa Idara ya Uchumi na Uwezeshaji Ndg.Nelson Lusekelo akizungumza na watumishi wa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM leo wakati wa kutambulishwa Kwa watumishi wa Makao makuu ya UVCCM
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala (MNEC) akiwakabidhi Mpangokazi wa Utekelezaji wa UVCCM Mwaka 2018/2019
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala (MNEC) akiwaongoza wakuu wa Idara za Makao makuu ya Umoja wa Vijana wakati akiwatembeza maeneo mbali mbali ya Ofisi ndogo ya Makao makuu ya UVCCM Upanga Dar es Salaam(Picha na FahadiSiraji wa UVCCM)

watumishi wa UVCCM makao makuu wakifuatilia kwa makini mazungumzo ya
Katibu Mkuu wa UVCCM Mwl Raymond Mwangwala (MNEC) alipokuwa
akiwatambulisha wakuu wa idara za UVCCM makao makuu kwao
Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni na Siasa Ndg Peter Kasela akizungumza na
watumishi wa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM leo wakati wa
kutambulishwa Kwa watumishi wa Makao makuu ya UVCCM
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg.Hassan Bomboko akizungumza na watumishi wa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM leo wakati wa kutambulishwa Kwa watumishi wa Makao makuu ya UVCCM
Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg Kamana Juma Simba akizungumza na watumishi wa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM leo wakati wa kutambulishwa Kwa watumishi wa Makao makuu ya UVCCM
Katibu wa Idara ya Uchumi na Uwezeshaji Ndg.Nelson Lusekelo akizungumza na watumishi wa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM leo wakati wa kutambulishwa Kwa watumishi wa Makao makuu ya UVCCM
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala (MNEC) akiwakabidhi Mpangokazi wa Utekelezaji wa UVCCM Mwaka 2018/2019
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala (MNEC) akiwaongoza wakuu wa Idara za Makao makuu ya Umoja wa Vijana wakati akiwatembeza maeneo mbali mbali ya Ofisi ndogo ya Makao makuu ya UVCCM Upanga Dar es Salaam(Picha na FahadiSiraji wa UVCCM)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni