Dstv Tanzania

KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM MKOA WA NJOMBE ERASTO NGOLE AZUNGUMZA NA VIJANA WA CCM KATA YA RAMADHANI MJINI NJOMBE

Katibu Mwenezi CCM Mkoa wa Njombe Erasto Ngole akizungumza na Vijana wa Kata ya Ramadhani ambao hawapo Pichani
Na Erasto Kidzumbe

Katibu wabu siasa na unenezi mkoa wa Njombe ndg.Erasto Ngole  akizungumza na viongozi wa Matawi wa kata ya Ramadhani leo mapema.

 Amewaeleza viongozi hao juu ya fulsa walio nayo katika jumuiya hiyo na kuwambia fulsa hizo zinatokana na kukitumikia chama cha Mapinduzi na jumuiya ya vijana kwani vijana ndio nguvu ya taifa.

Hata hivyo amewaasa vijana kuto chagua kazi kwa Tanzania ya sasa ukichagua kazi huwezi pata mafanikio,vijana ni lazima kujituma na kufanya kazi kwa bidii.

Mwenezi amesema vijana ni lazima kuwa makini kila aina ya maamuzi wanayofanya kwani baadhi ya maamuzi madhara yake sio ya leo bali ni ya vizazi vijavyo.

Amesema diwani wa kata ya Ramadhani amekuwa akipinga kila kitu, hata maendele yanaofanya na watanzania wenye nia nzuri na nchi yao.

Katika kupinga huko diwani huyo amepinga hata ujenzi wa shule ya sekondari kibena itakayofanya idadi ya wanafunzi katika shule ya sekondari Maheve ipungue kwani shule ya maheve imeshajaa na watoto wa watanzania wanapata tabu huku viongozi waliopewa dhamana hakuna wanachofanya zaidi ya kupinga kila kitu.

Vijana wa CCM kata ya radhamani wanategemea kuanza mashindano mpira ambayo yatahusisha mitaa yote ya kata ya Ramadhani na ligi hiyo itaitwa CCM KATA YAKaka samahani sana najua umenitafuta sana mwenzio nimedondosha simu nimepambana ndio naona hapa saiz katika ligi hiyo.

 Katibu wa siasa na uenezi mkoa wa njombe amewapa jezi jozi moja zenye thamani ya shilingi laki mbili 200,00, mipira miwili yenye thamani ya laki mbili 200,000 hata hivyo amewamesema anaandaa kikombe chenye thamani kubwa ambacho kitashindaniwa katika ligi hiyo.

Pia viongozi hao wa matawi mwenezi amewapa nauli kwa ajili ya kurudi nyumbani kiasi cha shilingi  160,000. 

Pia katika jitihada za kuandaa zawadi ya mshindi wa ligi ya kata ya Ramadhani  Katibun mwenezi wa kata ya Ramadhani ndugu Msigwa ameahidi kutoa Mbuzi moja kwa ajili ya mshindi wa kwanza, Pia katika wa hamasa na chipikizi Robarth Shejamabu ameahidi kutoa kiasi cha shilingi elfu hamsini kuwambiawa ajili ya mshindi wa kwanza.
Katika mazungumzo hayo katibu wa siasa amewaomba viongozi hao wa matawi kata ya Ramadhani kesho kuhudhuria ufunguzi wa ligi ya mpira iliyoandaliwa na mwenezi kijijini kwake Itulike.Hata hivyo amesema ligi hiyo itafunguliwa na Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Njombe ndugu Nehemia Tweve .

Imeolea Ofisi ya mwenezi Mkoa wa Njombe
Angali


Hakuna maoni: