KATIBU WA UWT MKOA WA DSM GRACE HAULE AZINDUA WIKI YA UMOJA WA WANAWAKE WILAYANI KIGAMBONI
Pichani ni katibu wa UWT Mkoa wa DSM
Uzinduzi wa wiki ya umoja wa wanawake Mkoa wa DSM, UWT iliyozinduliwa rasmi leo katika Wilaya ya Kigamboni Mkoa wa DSM.
Imezinduliwa na katibu wa UWT Mkoa wa DSM Ndg, Grace Haule kwa kufanya usafi wa Mazingira katika zahanati ya Buyungu amabayo ni mali ya Halmashauri ya Kigamboni, akifuatiwa na wajumbe wa kamati ya utekelezaji Mkoa wa DSM.
Hatimaye walitoa zawadi mbalimbali kwa wagonjwa na wauguzi, katika zoezi la kutoa zawadi hizo wameongozwa na Mganga kuu wa Wilaya hiyo na baadae kufuatiwa na Mkutano
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni