WANA CCM MKOA WA NJOMBE WANATOA POLE KWA WAHANGA WA AJARI YA MV NYERERE
Pichani ni katibu wa Siasa na ueuenezi Mkoa wa Njombe Erasto Ngole
Kwa
niaba ya wana CCM Mkoa wa Njombe, wanaungana na
watanzania wote kutoa pole kwa wahanga wa ajari ya kivuko cha MV Nyerere huko ukerewe.
Tunasikika kwa kupoteza ndugu, marafiki, jamaa, wataalamu na nguvu kazi ya nchi yetu.
Kazi ya bwana haina makosa na tunawaombea huko waendako
Pia tunawaombea majeruhi wapone kwa haraka kadri Mungu atakavyoona inafaa.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, Amina
Na Erasto Kidzumbe
0753580894
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni