UMOJA WA WAZAZI CCM MKOA WA NJOMBE WANATOA POLE KWA WAHANGA WA AJARI YA MELI YA MV NYERERE
Pichani ni Katibu wa Jumuiya ya wazazi Mkoa wa Njombe Ndg, Lucas Nyanda
Katibu wa Jumiya ya wazazi Mkoa wa Njombe Ndg,Lucas Nyanda ameungana na ndugu wa wahanaga wa Meli ya MV.Nyerere iliyotokea huko ukerewe.
Kwa masikitiko makubwa sana anawapa pole ngudu, jamaa na marafiki waliopotelewa na ndugu zao na kusema sisi sote ni wapitaji hivyo hatuna budi kujiweka tayari muda wote.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la bwana lihimidiwe
Na Erasto Kidzumbe
0753580894
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni