UWT NJOMBE YATOA POLE KWA WAFIWA NA MAJERUHI WOTE WA AJARI YA MV NYERERE
Pichani ni Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Njombe Bi.Agela Mwangeni
Kwa niaba ya Umoja wa wanawake CCM (UWT) Wilaya ya Njombe, inaungana na watanzania wote kuombeleza vifo vya watanzania wenzetu waliofariki kwenye ajari ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere Mkoani Mwanza.
Tunatoa pole kwa Mh.Rais John Pombe Magufuri, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wafiwa na watanzania wote kwa ujumla.
Pia tunawaombea majeruhi wapone upesi na Faraha kwa wafiwa wote.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, Amina
Na Erasto Kidzumbe
0753580894
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni