MJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA (MNEC) TERESIA MTEWELE AMEWAHIMIZA WAJUMBE WA BARAZA UVCCM MKOA WA NJOMBE KUTUMIA FURSA ZA MKOA WA NJOMBE
Na Erasto Kidzumbe
Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Taifa Teresia mtelewe awambia wajumbe wa baraza kuu UVCCM amkoa wa Njombe fulsa zilizopo mkoani Njombe na namna ya kuzitumia ili kuweza kujipatia kipato halali.
Kabla ya kuhotubia amepata fulsa ya kuwakabidhi vyeti viongozi wa CCM wa Mkoa wa Njombe vilivyo andaliwa na Jumiya ya Vijana wa Mkoa wa Njombe ikiwa ni ishara ya kuwatunuku kwa kuwa viongozi waliotukuka.
Viongozi hao ni Hosea Mpagike na na Katibu Mwenezi Mkoa wa Njombe Erasto Ngole.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni