KATIBU WA UVCCM MKOA WA NJOMBE SURE MASANGUTI AGEUKIA MICHEZO
Pichani, ni katibu wa vijana wa UVCCM mkoa wa Njombe Sure Masanguti akiwapa mbinu za ushindi katika ligi inayoendelea katika kijiji cha Itulike.
Katika mazungumzo yake amesema jambo la ushindi ni jambo la uamuzi baina yao kwani mpira ni dakika 90.
Mwisho amewapongeza namna wanavyowasiliana na kuhakikisha ushindi unapatikana kwa namna yeyote
Na Erasto Kidzumbe
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni