Rais Magufuli Awafagilia Wabunge wa CCM.....Awapiga Dongo Wapinzani
Magufuli alisema iwapo wabunge wa CCM wangepiga kura ya hapana kama wabunge wa upinzani serikali isingeweza kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemu wa ujenzi wa meli mpya unaotarajia kuanza hivi karibuni.
Alisema kuwa kura ya hapana maana yake watu wa Bukoba waendelee kupata tabu, watu wa Victoria wasiweze kufanya biashara na waendelee kuteseka kwa kukosa usafiri ndani ya Ziwa Victoria.
Aidha, Rais Magufuli aliwapongeza wabunge wa CCM kwa kuwawakilisha vyema wananchi wa Bukoba na amawaomba waendelee hivyo hivyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni