Dstv Tanzania

VIONGOZI WA CCM MKOA WA NJOMBE WATETA NA MASHINA NA MATAWI YA CCM



Pichani ni katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Njombe Lucas Nyanda kuria na katibu wa UVCCM Mkoa wa Njombe   Sure Mwasanguti kushoto


Hi ni miondoko ya kuimarisha mashina na matawi yote ya CCM Mkoa wa Njombe.

Viongozi hawa ni wataalamu wa kuimarisha mashina na Matawi ili kuweza kujipatia wanachama wapya na walio hai katika mashina na matawi.

Hata hivyo viongozi hawa wanasema kila walipo pita katika mashina na matawi yote yameonyesha kuunga mkono jitihada za chama cha mapinduzi na serikali kwa ujimla, juu ya huduma zinazotolewana katika jamii hizo wanazohishi.

Viongozi hawa wanawaomba watanzania wote kuendelea kukiamini chama cha mapinduzi kwani ni chama cha ukombozi na maendeleo.

Hakuna maoni: