MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA THERESIA MTEWELE AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATA YA KITWIRU IRINGA
Pichani ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa
Bi. Theresia Mtewele
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bi. Theresia Mtewele amezungumza na wananchi wa kata ya kitwiru iliyopo Iringa Mjini chini ya diwani wake Mh.Baraka Kimata.
Katika mazungumzo yake amewataka wajasiriamali wa Iringa kuwa wabunifu kwenye biashara zao na kuwa na nidhamu katika matumizi ya fedha ambazo wanazitumia kibiashara. Pamopja na hayo amewashauri kutumia vizuri fulsa zinazo wazunguka.
Ameyasema haya alipokuwa anazungumza na wanachi kwenye semina ya ujasilia mali iliyokuwa ikitolewa na taasisi ya TAEDO alipokuwa amealikwa kama mgeni rasmi.
Ameyasema haya alipokuwa anazungumza na wanachi kwenye semina ya ujasilia mali iliyokuwa ikitolewa na taasisi ya TAEDO alipokuwa amealikwa kama mgeni rasmi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni