MWENEZI CUP KATA YA RAMADHANI YAANZA MZUNGUKO WA PILI
Pichani ni Katibu wa Siasa na uenezi Mkoa wa Njombe Erasto Ngole katikati, Kulia ni katibu wa UVCCM Mkoa wa Njombe Sure Mwasanguti na Katibu wa kata ya Ramadhani ambaye ni mlezi wa Jumuiya ya Vijana.
Katibu wa CCM Mkoa wa Njombe amewasili kwenye viwanja vya mpira kuona ligi aliyoidhamini akishirikiana na wadau wengine.
Ligi hiyo kwenye mzunguko wa pili kata ya Ramadhani itahusisha timu zifuatazo:
i.Maheve Vs Itulike
ii.Mpeto Vs Kibena Hospital
iii.Mgodechi Vs Wikichi
i.Maheve Vs Itulike
ii.Mpeto Vs Kibena Hospital
iii.Mgodechi Vs Wikichi
Na Erasto Kidzumbe
0753580894
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni