ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM MKOA MKOA WA NJOMBE JASAEL MWAMWALA ILIYOFANYIKA LUDEWA YAZAA MATUNDA
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe Jasael Mwamwala timu nzima ya Mkoa wa Njombe ambayo ilikuwa na MNEC Fidelis Lumato, Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Njombe Erasto Ngole, Katibu wa UVCCM Mkoa wa Njombe Sure Mwasanguti wakiendelea na ukaguzi wa utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilayani Ludewa.
Pichani ni Katibu wa UVCCM Mkoa wa Njomnbe Sure Mwasangati, akifuatana na Mbunge wa Ludewa Deo Ngalawa
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe na timu yake wakiaga mara baada ya kumaliza ziara ya Wilani Ludewa.
Imetolewa na Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Njombe.
0753580894
Katika ziara hiyo Mwenyekiti amefurahishwa na uchapaji kazi wa Viongozi wa Wilaya ya Ludewa, hata hivyo amempongeza Mh.Mbunge Ngalawa na Mkuu wa Wilaya kwa jitihada kubwa wanazofanya.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe akiendelea na ukaguzi wa Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilani Ludewa.Pichani ni Katibu wa UVCCM Mkoa wa Njomnbe Sure Mwasangati, akifuatana na Mbunge wa Ludewa Deo Ngalawa
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe na timu yake wakiaga mara baada ya kumaliza ziara ya Wilani Ludewa.
Wanachma wa CCM Wilayani Ludewa wamefarijika sana kwa ujio wa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe na kufanya ziara Wilayani Ludewa kwa siku tatu na kutatua changamoto nyingi zilizokuwa hazijapaitwa ufumbuzi.
Mwisho viongozi wa Chama na Serikali wamepokea maelekezo na kuahidi kutekeleza mara moja ili kukidhi matamanio ya wananchi na wanachama CCM.
Imetolewa na Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Njombe.
0753580894
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni