Dstv Tanzania

MWENYEKITI WA CCM MKOA WA NJOMBE JASEL MWAMWALA AMEFANYA ZIARA WILAYANI LUDEWA



 PICHANI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe na Viongozi mbalimbali wa CCM mapema leo
wakipokelewa Wilayani Ludewa

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe Jasel Mwamwala ameanza ziara ya Mkoa wa Njombe akiongozana ana Viongozi wa Mkoa wa Njombe ambao ni Katibu wa CCM Mkoa wa Njombe Paza Mwamlima, MNEC Fidelis Lumato , Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Njombe Erasto Ngole,Katibu wa Jumiya ya Vijama Sure Mwasanguti.

Ziara hiyo imelenga kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na kuimalisha uhai wa Chama katika Mkoa wa Njombe.

Katika kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama cha mapinduzi atakagua miradi yote inayotekelezwa kila Wilaya.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe akisalimia  wanachama wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Ludewa.



Mkuu wa Wilaya ya Ludewa akimueleza utakeleazji wa Ilani ya CCM katika suala la amaendeleo ikiwa na pamoja na ujenzi wa daraja alilokagua Mweneykiti wa CCM Mkoa wa Njombe.


Pichani ni Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Njombe akiongea na wanachama wa Chama cha Mpinduzi Wilayani Ldewa
Mwenyekiti na safu yake ya Mkoa wakikagua Daraja lililojengewa Wilayani Ludewa



Imetolewa na Ofisi ya Siasa na Uenezi Mkoa wa Njombe
0753580894

Hakuna maoni: